- Eeeeeeeeee, Uhhhhhhhhhh, Mfalme wa wafalme Bwana mwenye nguvu.
- 1.
- Kama si Bwana Yesu aliye kuwa pamoja nasi
- Wanadamu walipo tushambulia papohapo wangelitumeza hai
- Maadui walipo tushambulia papohapo wangelitumeza hai
- Maana Bwana Mungu atanisaidia, kwa sababu hiyo sikutahajali
- Kwa sababu hiyo nimekaza uso wangu kama gumegume
- Nami najuwa yakwamba sitaona haya yeye anipatiaye haki yangu yu karibu.
- Chorus/Inyikirizo
- Wamtumainiyo Bwana nikama mlima sayuni
- Ambao hautatikisika, wakaa milele
- Kama milima inavyo zunguka Yerusalemu,
- Ndivyo Bwana anavyo zunguka watu wake.
- Hata wayapitie mambo magumu, hawatarudi nyuma;
- Hata wajaribiwe kiasi gani, hawatashindwa.
- 2.
- Vitumainiwavyo ni vingi, kumtumaini Mungu ndicho kitu cya thamani
- Vinavyo dumu navyo ni vingi, vitokavyo kwa Yesu ndivyo vya milele
- Usiye mtumaini mwanadamu wala kitu chochote
- Kaza mwendo na ujipe moyo umtumikie kwa moyo wako wote
- Mtumaini Mungu naye atakushindia
- Hakuna aliye kuja kwake na akapata haya
- Hakuna aliye mtumikia
- Hakuna aliye kuja kwake na akafedheheka
- Chorus/Inyikirizo
- Wamtumainiyo Bwana nikama mlima sayuni
- Ambao hautatikisika, wakaa milele
- Kama milima inavyo zunguka Yerusalemu,
- Ndivyo Bwana anavyo zunguka watu wake.
- Hata wayapitie mambo magumu, hawatarudi nyuma;
- Hata wajaribiwe kiasi gani, hawatashindwa.
- Bridge
- Wamtumainiyo Bwana nikama mlima sayuni
- Ambao hautatikisika, wakaa milele
- Kama milima inavyo zunguka Yerusalemu,
- Ndivyo Bwana anavyo zunguka watu wake.
- Hata wayapitie mambo magumu, hawatarudi nyuma;
- Hata wajaribiwe kiasi gani, hawatashindwa X2
- Ad Lib
- Yeeeeeeee lelelele, Ehhhhh, Wamtumainio Bwana ni kama ah ah ah ah
- Oh wamtumainio Bwana
- Wamtumainio Bwana hawatashindwa.
KANDA HANO USHOBORE KUMVA
Wamutumainiyo By Liliane Kabaganza
TANGA IGITEKEREZO