- Maisha, Ni mauwa ah! Ah! Ah! Ah!, Yanyauka ah! ah! ah!, Maisha ah! ah! ah!
- 1.
- Yesu ni lango, pumziko, tena ni uzima
- Haniachi na ujira, jaribu likija
- Bwana ninaushika moyo
- Mimi niko nawe
- Nitamlaki!!!
- Inyikirizo/Chorus
- Nitamlaki Bwana wangu ajapo mawinguni
- Sitayaasi kamwe, nangoja Bwana wangu
- Ai Ye Ye Ye Haleluya
- 2.
- Maisha yangu ni adhili, kweli ni mafupi
- Sitapoteza mda wangu, nitauzingatia
- Yesu ameisha karibia, nitakwenda naye
- Nitamlaki!!!
- Inyikirizo/Chorus
- Nitamlaki Bwana wangu ajapo mawinguni
- Sitayaasi kamwe, nangoja Bwana wangu
- Ai Ye Ye Ye Haleluya
- 3.
- Kwa machozi na kwa uchungu, sitamuacha Bwana wangu Yesu
- Wanitendeeni vibaya, nitavumilia
- Yesu ni wangu na hakika mimi niko wake
- Nitamlaki!!!!
- Inyikirizo/Chorus
- Nitamlaki Bwana wangu x13
- Ajapo mawinguni.
- Ad Lib
- Oh!! Nitamlaki Bwana wangu Yesu
- Atasema mwanangu Karibu! Karibu!
- Umeshinda majaribu ya dunia
- Atasema mwanangu
- Njoo upumzike mwanagu
- Tutawaona wale wote walio tutangulia
- Watoto wetu walio enda
- Wazazi wetu nao tutawaona
- Tutaishi nao milele na milele
- Tutaona kovu za Bwana Yesu
- Tutaimba nyimbo za sifa
- Tutayasahau mateso yote ya dunia
- Ihh!! Eh! Eh! HALELUYA!!!!!!
KANDA HANO USHOBORE KUMVA
Maisha By Liliane Kabaganza
TANGA IGITEKEREZO